April 10, 2025 11:17:51 PM Menu



Tambwe akiwa uwanjani leo

STRAIKA Amissi Tambwe leo ameshindwa kufanya mazoezi na wenzake kufuatia jeraha alilopata kichwani na kushonwa nyuzi sita kutopona.
Kutokana na hali hiyo, Tambwe ambaye ni raia wa Burundi leo hajafanya mazoezi na wenzake ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam FC utakaopigwa keshokutwa Jumapili.
Mshambuliaji huyo aliumia Jumatano ya wiki hii kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa ambapo Yanga ilipata ushindi wa mabao 3-1.
Taarifa zinasema straika huyo ataukosa mchezo dhidi ya Azam.
14 Oct 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top