April 11, 2025 10:27:57 AM Menu




STRAIKA wa Azam, John Bocco amefanikiwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Agosti, mwaka huu.
Bocco ambaye mpaka sasa ameifungia mabao matatu Azam kwenye ligi kuu amekabidhiwa zawadi ya Sh 1 Milioni na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura kwenye Uwanja wa Uhuru.
16 Oct 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top