April 10, 2025 12:18:17 PM Menu




Kocha wa makipa wa Simba, Adam Abdallah (kushoto) na mlinda mlango wa timu hiyo, Vicent Ngban wakimnyoosha viungo kipa chaguo la pili kikosini humo, Peter Manyika ‘Manyika Jr’ katika mazoezi yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar.
Simba leo inatarajiwa kucheza na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar.
15 Oct 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top