April 12, 2025 12:37:28 PM Menu




DROO ya upangaji wa makundi ya michuano ya mataifa huru Afrika (AFCON) imefanyika jana usiku Libreville nchini Gabon ambapo michuano hiyo itafanyika na jumla ya timu 16 zimegawanya katika makundi manne yenye timu nne nne.
Michuano hiyo itaanza kuchezwa Februali 5, 2017 ambapo IAvory Coast ni mabingwa watetezi

Kundi A Gabon, Cameroon, Burkina Faso na Guinea-Bissau.
Kundi B: Algeria, Senegal, Zimbabwe,Tunisia
Kundi C: Ivory Coast, Togo, Morocco na DR Congo.
Kundi D: Ghana, Uganda, Misri, Mali

20 Oct 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top