JANA asubuhi Daktari wa Yanga, Edward Bavu alimzuia Amissi Tambwe asifanye mazoezi ya timu hiyo kutokana na jeraha aliloshonwa nyuzi sita kichwani kutokuwa katika hali nzuri.
Kutokana na hali hiyo, Tambwe, straika raia wa Burundi, hakufanya mazoezi, hivyo kesho Jumapili hatacheza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, licha ya mwenyewe kutaka kucheza mchezo huo.
Tambwe aliumia katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar Jumatano wiki hii kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam dakika 88 na kushindwa kumalizia mechi hiyo iliyoisha kwa Yanga kushinda mabao 3-1.
Tambwe alisema: "Nilikuwa ninaitaka sana mechi ya Azam, lakini imeshindikana kutokana na jeraha hili, nimeumia kuikosa mechi hii kubwa yenye historia.”
Related Posts
- Tumewasikia, tunawathamini, tunawapenda, tutarejea14 May 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Caf kuilipia Yanga mishahara25 Dec 20160
YANGA inahesabu siku tu kabla ya kuanza kuogelea mamilioni ya fedha za Shirikisho la Soka barani...Read more »
- Tatizo la Okwi kwishnei Simba25 Dec 20160
BADO mashabiki wa Simba wanaendelea kumkumbuka straika wao Mganda, Emmanuel Okwi, kutokana na ka...Read more »
- Kocha wa Wacomoro atamba kuibania Yanga Caf24 Dec 20161
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Wakala: Ajibu hawezi kucheza popote, anawatikisa Simba tu24 Dec 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- SIMBA WANACHEEEEEEEEEEEEKAAAAAAAAAAAAA24 Dec 20160
SARE ya bao 1-1 waliyoipata Yanga jana dhidi ya African Lyon kwenye Uwanja wa Uhuru, imezidi ku...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.