MSAFARA wa
Young Africans kuelekea Mtwara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu keshokutwa Jumatano
dhidi ya Ndanda FC, utaondoka kesho alfajiri ukiwa na wachezaji 20 na jopo la
ufundi chini ya Hans van Der Pluijm lenye watu saba.
Wachezaji
wataokao ukosa mchezo huo wa pili wa Young Africans katika ligi ni;
1. Deogratius
Munishi (Msibani )
2. Geofrey
Mwashuiya (majeruhi )
3. Pato
Ngonyani (majeruhi )
4. Malimi
Busungu (majeruhi )
5. Haruna
Niyonzima (timu ya taifa )
6. Vicenti
Bossou (timu ya taifa )
Post a Comment