KOCHA wa
Bayenr Munich, Carlo Ancelotti amewataja nyota watano kutoka kwenye klabu
mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kubwa za Ulaya.
Ancelotti
amewataja nyota watakaochukua viatu vya dhahabu wa ligi za La Liga, Premier
League, Ligue 1 na Serie A. Lakini pia ametabiri Madrid watachukua Kombe la La Liga.
Kule Serie
A, Ancelotti amewapa nafsi Juventus ya kuchukua ubingwa wa sita mfululizo na kiatu
cha dhahabu kitatua kwa Higuain Gonzalo na EPL kombe litawaangukia Man City
huku Zlatan Ibarahimovic akipewa nafasi ya kuwa mfungaji bora.
Ligue 1, kocha
huyo anaona PSG watabeba tena kombe hilo na mfuangaji bora atakuwa Edinson
Cavani na mwisho
Ancelotti’s
predictions:
League Winner Top Scorer
La Liga Real Madrid Cristiano
Ronaldo
Serie A Juventus Gonzalo
Higuain
Ligue 1 PSG Edinson Cavani
Premier
League Man City Zlatan Ibrahimovic
Post a Comment