MSHAMBULIAJI
nyota wa Yanga, Amissi Tambwe ambaye msimu uliopita aliifungia timu hiyo mabao
21 kwenye ligi kuu amejikuta kwenye katika wakati mgumu kutokana na kuumwa
malaria.
Taarifa
tulizozipata zinadai kuwa Tambwe raia wa Burundi hadi jana alikuwa ametundikiwa
dripu sita ili kuhakikisha anapata nafuu.
Hata hivyo
nyota huyo amedaiwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kupata matibabu hayo.
Post a Comment