KOCHA Hans van Der Pluijm amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuinoa Klabu ya Yanga.
Hivi karibuni mkataba wa kocha huyo ulimalizika na viongozi wa Yanga baada ya kuridhika na mafanikio yake umeamua kumuongeza tena kandarasi hiyo.
Msimu wa 2015/16 Pluijm aliipa Yanga mataji ya Ngao ya Jamii, Kombe la FA na Kombe la Ligi Kuu huku akiifikisha timu hiyo hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika.

Post a Comment

 
Top