Ndani ya Sh bilioni 20 ambazo
Simba itazipata kutoka kwa MO inaweza kuzitumia kwa ajili ya mambo yafuatayo;
1. Ujenzi wa uwanja wake wa
mazoezi ambao utagharimu Sh bilioni 5.
2. Ujenzi wa hosteli ambayo
ndani yake itakuwa na gym, mabwawa ya kuogelea na hospitali ndogo Sh bilioni 4.
3. Ukarabati wa majengo yake
mawili yaliyopo Mtaa wa Msimbazi Kariakoo yaweze kuwa katika taswira nzuri na
ya kuvutia Sh bilioni 5
4. Basi la kisasa na gari dogo
la kocha Sh milioni 200.
5. Mishahara ya wachezaji,
posho, fedha za usajili kwa msimu, Sh bilioni 2.2
6. Uboreshaji wa timu ya vijana
Sh bilioni 1.
Jumla ya matumizi ya kwa vitu
hivi ni Sh bilioni 17.4 na itabaki Sh bilioni 2.6 ambazo zinaweza kutumika
kwenye miradi mingine ya maendeleo.
YveraFtinko Stephanie Sims Here
ReplyDeletesmugrereati