Wachezaji wa Azam FC, Himid Mao na Gadiel Michael wakiwa kwenye boti safarini wakielekea Zanzibar kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wao wa Ngao ya Jamii utakaopigwa Agosti 17, mwaka huu dhidi ya Yanga pamoja na michuano mingine.

Post a Comment

 
Top