Katika
dhamira yake ya kufanya ubunifu wa teknolojia kwa ajili ya kuwapeleka
watanzania katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia kwa kuwapatia huduma bora
za kurahisisha maisha na kwa gharama nafuu leo kampuni ya mawasiliano ya
Vodacom Tanzania imezindua ofa mpya maalum kwa wateja wake inayojulikana kama
“Ya kwako tu” itakayowawezesha kujipatia vifurushi vya gharama nafuu kwa kadri
ya matakwa yao wapendayo kuanzia vya huduma ya kuperuzi intaneti (Mitandao ya
kijamii, Youtube, Whatsapp na kadhalika),kupiga simu (Kuenda mitandao yote) na
kutuma ujumbe mfupi wa maneno.
Ili kupata
huduma ya ofa hii ya“Ya kwako tu” mteja anachotakiwa kufanya ni kupiga simu
namba*149* 03# kupata orodha ya huduma anayohitaji kutumia.
Post a Comment