0Baadhi ya wachezaji wa mchezo wa Golf katika picha ya pamoja wakati wa mashindano ya kundi la ‘Breakfast Group’ yaliyofanyika katika viwanja vya golf Lugalo jijini Dar es Salaam hivi karibuni na kudhaminiwa na kampuni ya MIMOSA Black Card.

Muonekano wa tuzo za washindi zilizoshindaniwa kwa nafasi ya kwanza, ya pili na ya tatu. Watumiaji wa MIMOSA Black Card watapata punguzo la bei katika manunuzi ya bidhaa na huduma katika vituo mbalimbali vya biashara nchini Tanzania na Afrika kila wafanyapo manunuzi kupitia kadi hii.


Baadhi ya wachezaji wa mchezo wa golf katika picha ya pamoja wakati wa mashindano ya kundi la ‘Breakfast Group’ yaliyofanyika katika viwanja vya golf Lugalo jijini Dar es Salaam hivi karibuni na kudhaminiwa na kampuni ya MIMOSA Black Card.


Wachezaji wakihesabu kiasi cha pointi walizocheza wakati wa mashindano ya golf kwa kundi la ‘Breakfast Group’ yaliyofanyika katika viwanja vya Lugalo hivi karibuni na kudhaminiwa na MIMOSA Black Card. Mteja wa kadi hii anaweza akaipata kiurahisi bila urasimu kwa kutumia kitambulisho cha aina yeyote.    

Post a Comment

 
Top