Mchezaji mpya wa Chelsea ‘Michy Batshuayi’ amelipishwa faini
na polisi wa Spain na gari yake kuwekwa ndani baada ya kufanya makosa ya
barabarani.
Inasemekana bata refu alilokuwa anakula huko Ibiza
lilipelekea staa huyu mpya wa Chelsea ‘Michy Batshuayi’ kujisahau na kuegesha
gari yake eneo lisilotakiwa kuegeshwa magari, gari hio ni aina ya Lamborghini
lenye thamani ya Pound £180,000.
Michy Batshuayi amelipa faini ya Pound £330.
Post a Comment