TAARIFA zilizotufikia muda kutoka chanzo chetu
kinachovinjari maeneo ya ofisi za TFF ambapo kikao kinaendelea zinasema kuwa
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Yanga, Jerry Muro
amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na Soka. Taarifa kamili itakujia hivi karubuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment