KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Simba na Stand United, Haruna Chanongo jana amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Mtibwa Sugar ya Manungu ya Morogoro.
Chanongo aliachana na Stand baada ya kuingia kwenye mgogoro na kocha mkuu Patrick Leiwig na sasa anaenda kujaribu bahati yake na wakata miwa hao wa Turiani.

Post a Comment

 
Top