KIUNGO Mshambuliaji wa zamani wa Simba, ambaye sasa anacheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika Klabu ya Royal Eagles iliyopo Ligi Daraja la Kwanza nchini humo, amekabidhiwa gari kali aina ya Volkswagen Golf VII kwa ajili ya usafiri wa ndani.

Uhuru amesema gari hiyo alikabidhiwa na wakala wake, Ranaled Nkatho Benjee ambaye amekuwa naye bega kwa bega katika kuhakikisha mambo ya usafiri yanamuendea safi pindi awapo nchini humo.

Post a Comment

 
Top