Mwaka 2016 umekuwa mwaka wa bahati nzuri tu kwa WWE Champion
The Rock au unaweza kuwa unamfahamu kama mwigizaji Dwayne Johnson ambaye
ametajwa kuwa mwanaume mwenye mvuto zaidi duniani na jarida la PEOPLE mwaka
2016.
Kwa luhga ya Kingereza wanasema ‘The Sexiest man alive’ The
Rock amechukua nafasi ya mwanasoka mstaafu David Beckham.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.