Wale wazee
wa mikeka wikiendi iliyopoa kutokana na kuwepo kwa International break ndiyo
hii lakini hata hivyo lazima mikeka itengenezwe tayari kwa kwenda kumrarua Mhindi
na Mzungu.
Lakini kabla
ya kuangalia mikeka ya leo kuna kitu ningependa kuzungumza na wadau wa betting;
kwanza kabisa ni stake;
Wengi wetu
ambao huwa tunabet huwa tunaweka mkeka huku tunaogopa kwa maana hali hiyo
huepeleka kuweka 500 au buku tu na kujaza msururu wa timu kitu ambacho
kinafanya iwe rahisi kuliwa.
Kwa mfano
mtu kaweka jero lakini huo mkeka wake unakuwa kama treni yaani lile lenye
mabehewa 100 hii yote anataka kupata kiasi kikubwa cha fedha halafu yeye mgumu
kutoa, nafahamu pia wapo ambao wanashinda mpunga mrefu kwa jero, huu mchezo ni
bahati.
Ni vyema mtu
akaweka hata 500 kwa timu zake tatu tu sio mbaya kwani nafahamu hapo unakuwa na
asilimia kubwa ya kushinda kuliko kupoteza. Usiogope kuliwa buku tano au buku
kumi kwani ninaamini ipo siku zitarudi zote lakini kama utaendelea kucheza kwa
jero mechi 20 lazima kila siku timu moja au mbili zitakuwa zinakupiga kwata na
kurudi nyuma.
Ukiionea
huruma fedha yako hata hao wenye makampuni na wenyewe wataendelea ‘kukumanga’
tu cha msingi tupia mzigo wa kutosha ili uwe na asilimia kubwa ya kushinda.
Haya twende
kwenye mzigo wa leo
Croatia
Win & Over 2.5 Match Goals vs Iceland
Both
Teams To Score - Wales vs Serbia
Italy
Win & Over 3.5 Match Goals at Liechtenstein
Ukraine
Win vs Finland
KAWAIDA
AFC
Wimbledon Draw No Bet at Oldham (League
1)
Fleetwood
Draw No Bet at Port Vale (League 1)
Oxford
Draw No Bet at Oxford United (League 1)
Bristol
Rovers Win or Draw (Double Chance) at Millwall
(League 1)
Portsmouth
Win vs Mansfield (League 2)
Wycombe
Win vs Morecambe (League 2)
Accrington
Stanley Win or Draw (Double Chance) at Luton
(League 2)
*Chagua
timu zako tano
Post a Comment