MSHAMBULIAJI wa zamani mwenye kasi wa
Free State Stars ya Afrika Kusini, Mrisho Khalfan Ngassa (26) ndiye mchezaji anayeshika
nafasi ya pili kwa kusajiliwa kwa fedha nyingi zaidi kwa wachezaji wazawa
nyumba ya Mbwana Samatta wa Genk.
Kwa wageni redoki hiyo inashikiliwa na
Emmanuel Okwi ambaye aliuzwa na Simba kwenda Etoile du Sahel kwa dola 300,000
(Sh milioni 480 wakati ule).
Ngassa anakuwa Mtanzania wa pili aliyenunuliwa
bei ghali zaidi nje ya Tanzania ya Rand milioni 1.7, sawa na dola 150,000
(zaidi ya Sh milioni 300).
Wakati Samatta aliyejiunga ambaye pia aliwahi kuichezea Mazembe kwa kujiunga nayo kwa dau la dola 100,000 (zaidi ya Sh milioni 200), sasa anaichezea Genk aliyojiunga nayo mwanzoni mwa mwaka huu ambapo ripoti zinasema alisajiliwa kwa zaidi ya Sh Bilioni moja.

Kesho nitakuletea wachezaji wengine wazawa
waliolipwa mkwanja mrefu zaidi kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi.
Post a Comment