KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Mfaransa Mathieu Flamini, msimu
huu ataendelea kuonekana tena lakini sasa akiwa na uzi wa rangi ya bluu na
nyekundu inayovaliwa na Crystal Palace.
Flamini, 32, amejiunga na klabu hiyo akiwa kama mchezaji
huru kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kuachwa na Arsenal.


Post a Comment