KIUNGO Bastian
Schweinsteiger ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya Man United
kitakachoshiriki Ligi ya Europa.
Kocha Jose Mourinho
ambaye tangu anajiunga na kikosi hicho msimu huu alionekana kutomuhitaji
Mjerumani huyo kikosini mwake.
Katika
kikosi ambacho United watakitumia kwenye mashindano hayo jina la Bastian
Schweinsteiger halipo.
Majina ya
kikosi kizima cha wachezaji 27 wa Manchester United:
Makipa: David
De Gea, Sergio Romero, Sam Johnstone
Mabeki: Eric
Bailly, Phil Jones, Marcus Rojo, Daley Blind, Chris Smalling, Luke Shaw,
Timothy Fosu-Mensah, Antonio Valencia, Matteo Darmian, Axel Tuanzebe
Viungo: Paul
Pogba, Juan Mata, Jesse Lingard, Michael Carrick, Ashley Young, Ander Herrera,
Henrikh Mkhitaryan, Marouane Fellaini, Morgan Schneiderlin, Memphis Depay
Washambuliaji:
Wayne Rooney, Zlatan Ibrahimovic, Anthony Martial, Marcus Rashford.
Post a Comment