Kiungo wa Juventus, Paul Pogba ame-post video kwenye akaunti yake ya Twitter ikimuonesha akipangua ngumi na kumpiga mateke mpinzani wake, huku akiwa amevaliwa vest ya nyota wa  Golden State Warriors, Stephen Curry.

Pogba, 23, anajiandaa kurejea Man United kwa dau linaloweka rekodi mpya ya Dunia, ingawa bado kuna mjadala mzito kama kiungo huyo ana thamani hiyo ya paundi milioni 100.


Post a Comment

 
Top