|
Picha
mbalimbali zinamuonyesha Simon Msuva alivyofunga bao lake katika dakika ya 71
kwenye mchezo dhidi ya Lyon ambayo
vijana wa Jangwani waliibuka na ushindi wa mabao 3-0.
![]() |
|
Simon Msuva
wa akimtoka Omar Salum kushoto.
|
![]() |
|
… akimpiga
kanzu kipa wa Lyon, Youthe Rostand.
|
![]() |
|
…akiuangalia
mpira uliotangulia mbele yake
|
![]() |
|
..akishangilia
na Mahadhi baada ya mpira kutinga kimiani
|





Post a Comment