FT YANGA 3-0 LYON
Mahadhiiii Yanga 3-0 Lyon'
Yanga wanaonana sasa hivi na wamekuwa wakipiga pasi nyingi
zinazoonekana kuwachanganya wapinzani wao
Mahadhiiii Yanga 3-0 Lyon'
zimeongezwa dakika 4
dk 90. Tambwe anakosa goli pale baada ya mpira jugonga mwamba…
pengine angeiandikia Yanga bao la tatu
dk 88. Donald Ngoma anakwenda nje anaingi Matheo Anthony
mashabiki wa Yanga wakiwa na furaha baada ya Msuva kufunga bao la pili |
MSUBA AMEFUNGA BAO HILO AKITUMIA VYEMA PASI YA KAMUSOKO AMBAYO ALIMTANGULIZIA KISHA MSUVA AKAMZIDI MBINU BEKI WA LYON KISHA AKAUPIGA JUU YA KIPA MPIRA
MSUVAAAAAAAAAAAAAAAAAA YANGA 2-0 LYON DK60
kipindi cha pili kimeanza
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Yanga
1. Deogratius Munishi
2. Hassani Kessy
3. Mwinyi Haji
4. Andrew Vicent
5. Vicent Bossou
6. Thabani Kamusoko
7. Saimoni Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Donald Ngoma
10. Amisi Tambwe
11. Deusi Kaseke
Substitutions
- Beno Kakolanya
- Oscar Joshua
- Pato Ngonyani
- Saidi Makapu
- Juma Mahadhi
- Yusufu Mhilu
- Mateo Antony
African Lyon XI: Baraka, Youthe, Twenye, Tajiri, Otong,
Salum, Mayanja, Okello, Nampaka, Kiata, Salum, African Lyon subs: Mazande,
Miraji, Isihaka, Awadh, Kibingu, Kipalamoto, Hilary
Timu nzote uwanjani na mwamuzi atapuliza kipyenga wakati
wowote
Dk 11 Yanga wanaonekana kuja kwa kasi zaidi na kulishambulia
lango la African Lyon lakini Ngoma na Tambwe wanashindwa kutumia nafasi
wanazozipata
dk 18 Kaseke anaiandikia bao la kuongoza Yanga; Yanga 1-0
Lyon
Kamusoko akiwa chini
baada ya kufanyiwa madhambi na mchezaji wa Lyon hata hivyo ametibiwa na sasa
yupo uwanjani akiendelea kupambana. . hiyo ilikuwa dakika ya 28.
HT Mpira ni mapumziko. YANGA 1-0 LYON
Post a Comment