Baada ya kuzagaa picha mbali mbali na
taarifa kuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Mwinyi
Haji Ngwali “Bagawai” anatumia madawa ya kulevya taarifa hizo si kweli na wala
hatumii Madawa yoyote mlinzi huyo.
Mwinyi Haji Ngwali hatumii dawa za
kulevya na uthibitisho huo umetolewa na Awattif A. Abdulrasoul ambae yeye ni
Mkemia Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Tarehe 09/05/2016 Maabara ya Mkemia
Mkuu wa Serikali ilipokea test tube moja ya damu na kikopo kimoja cha mkojo wa
Mwinyi Haji kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu.
Uchunguzi ulifanyika kwa kutumia
(Diffusion Assay Method na mult-line screen device test) umethibitisha
kutokuwepo kwa ulevi ndani ya damu na aina yoyote ya madawa ya kulevya ndani ya
mkojo.
Nae Haji Ngwali ambae ni baba mzazi
na wakala wa Mwinyi amethibitisha kuwa mtoto wake hatumii madawa hayo na
uthibitisho wa hilo alimpeleka kwa Mkemia mkuu wa Zanzibar na amethibitisha
kuwa Mwinyi hatumii madawa hayo.
“Mimi na baba mzazi na wakala wa
Mwinyi, huyu kijana hatumii aina yoyote ya madawa ya kulevya, nataka watanzania
wajuwe kuwa kijana huyu hatumii tofauti na mitandao ya kijamii inavyosambaza
taarifa za uzushi, mimi nipo tayari kwa mtu yoyote twende pamoja hospitali na
kijana huyu tukampime kwasababu kama mtu anatumia madawa haya ataonekana tu
hata kama kaacha kwa muda mrefu”. Alifunguka baba huyo.
Kwa upande wake Mwinyi amesema
anaendelea vizuri afya yake tangu alipoumia katika mchezo dhidi ya Mo Bejaia ya
Algeria ambapo kwasasa yupo fiti na anafanya mazoezi na wenzake.
“Nashkuru Mungu naendelea vizuri
tangu nilipoumia kule Algeria na tayari nishaanza kufanya mazoezi na wenzangu
na nipo fiti”.
Wakati huo huo Mwinyi amethibitisha
kuwa kweli walikwenda kupima kwa mkemia mkuu yeye na babaake na ameonekanwa
yupo salama.
“Ni kweli nilikwenda kwa Mkemia mkuu
kupima mimi na babaangu na nimeonekanwa nipo salama, babaangu alikuja
kunichukua wakati aliposikia taarifa kuwa natumia madawa, mana nililia sana na
nilitaka hata kutoroka kambini kwasababu akili yangu ilikuwa haipo sawa
kutokana na taarifa zilizozagaa kuwa mimi natumia madawa, niliumia sana na
sijui nani nimemkosea ata ananifanyia hivi ila mimi nimeshamsamehe ndo
changamoto za maisha lakini wameitia unyonge sana familia yangu, mamaangu
alilia sana pamoja na dada zangu kuona nazushiwa taarifa hizi”. Alisema Mwinyi
huku akiwa anatoka machozi.
Aidha Mwinyi amekanusha picha
zilizozagaa sasaivi katika mitandao ya kijamii picha ambazo zimewekwa mbili kwa
pamoja, moja ikionesha alivyokuwa zamani na moja alivyo sasa ambapo picha hizo
zime tengenezwa si za ukweli na yeye Mwili wake upo vile vile.
“Jamani mimi sipo hivyo kama picha
zilivyozagaa katika mitandao ya kijamii, Kisandu ule picha ukiangalia tu unaona
kama si ya ukweli, kwanza uwanja gani ule tulocheza mazoezi sisi Yanga, na
ukiangalia kwa nyuma kuna goli la Hand ball, sasa sisi Yanga lini tumefanya
mazoezi uwanja kama huo na pia Yanga wafanye mazoezi kusiwe hata mashabiki
kuangalia!, duh watu wananichafua sana ila mimi nipo vizuri na wapenzi wa Yanga
na Tanzania wategemee makubwa kuliko mwanzo Kisandu”.
Jumamosi ya April 30, 2016 moja ya
Gazeti la michezo nchini Tanzania ambalo ni BINGWA liliandika taarifa ndefu
kuhusu mlinzi wa Yanga ambapo kichwa cha habari kilikuwa kimeandikwa “ SIRI
NZITO YAFICHUKA YANGA”, NYOTA ALIYEMKUNA MAHREZ WA LEICESTER NI TEJA WA
KUTUPWA, APIGWA CHINI” .
Zaidi ushahidi huo apo kwenye picha
unaonesha kuwa si kweli Mwinyi hatumii madawa ya kulevya bali ni wachache
wasiompenda wanamchafua.
Chanzo-Naipenda Yanga
MWINYI HAJI NGWALI HATUMII MADAWA YA KULEVYA, USHAHIDI HUU HAPA
Baada
ya kuzagaa picha mbali mbali na taarifa kuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga
na Timu ya Taifa ya Tanzania Mwinyi Haji Ngwali “Bagawai” anatumia
madawa ya kulevya taarifa hizo si kweli na wala hatumii Madawa yoyote
mlinzi huyo.
Mwinyi
Haji Ngwali hatumii dawa za kulevya na uthibitisho huo umetolewa na
Awattif A. Abdulrasoul ambae yeye ni Mkemia Mkuu wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Tarehe
09/05/2016 Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ilipokea test tube moja
ya damu na kikopo kimoja cha mkojo wa Mwinyi Haji kwa ajili ya kufanyiwa
uchunguzi wa kitaalamu.
Uchunguzi
ulifanyika kwa kutumia (Diffusion Assay Method na mult-line screen
device test) umethibitisha kutokuwepo kwa ulevi ndani ya damu na aina
yoyote ya madawa ya kulevya ndani ya mkojo.
Nae
Haji Ngwali ambae ni baba mzazi na wakala wa Mwinyi amethibitisha kuwa
mtoto wake hatumii madawa hayo na uthibitisho wa hilo alimpeleka kwa
Mkemia mkuu wa Zanzibar na amethibitisha kuwa Mwinyi hatumii madawa
hayo.
“Mimi
na baba mzazi na wakala wa Mwinyi, huyu kijana hatumii aina yoyote ya
madawa ya kulevya, nataka watanzania wajuwe kuwa kijana huyu hatumii
tofauti na mitandao ya kijamii inavyosambaza taarifa za uzushi, mimi
nipo tayari kwa mtu yoyote twende pamoja hospitali na kijana huyu
tukampime kwasababu kama mtu anatumia madawa haya ataonekana tu hata
kama kaacha kwa muda mrefu”. Alifunguka baba huyo.
Kwa
upande wake Mwinyi amesema anaendelea vizuri afya yake tangu alipoumia
katika mchezo dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria ambapo kwasasa yupo fiti na
anafanya mazoezi na wenzake.
“Nashkuru Mungu naendelea vizuri tangu nilipoumia kule Algeria na tayari nishaanza kufanya mazoezi na wenzangu na nipo fiti”.
Wakati huo huo Mwinyi amethibitisha kuwa kweli walikwenda kupima kwa mkemia mkuu yeye na babaake na ameonekanwa yupo salama.
“Ni
kweli nilikwenda kwa Mkemia mkuu kupima mimi na babaangu na
nimeonekanwa nipo salama, babaangu alikuja kunichukua wakati aliposikia
taarifa kuwa natumia madawa, mana nililia sana na nilitaka hata kutoroka
kambini kwasababu akili yangu ilikuwa haipo sawa kutokana na taarifa
zilizozagaa kuwa mimi natumia madawa, niliumia sana na sijui nani
nimemkosea ata ananifanyia hivi ila mimi nimeshamsamehe ndo changamoto
za maisha lakini wameitia unyonge sana familia yangu, mamaangu alilia
sana pamoja na dada zangu kuona nazushiwa taarifa hizi”. Alisema Mwinyi
huku akiwa anatoka machozi.
Aidha
Mwinyi amekanusha picha zilizozagaa sasaivi katika mitandao ya kijamii
picha ambazo zimewekwa mbili kwa pamoja, moja ikionesha alivyokuwa
zamani na moja alivyo sasa ambapo picha hizo zime tengenezwa si za
ukweli na yeye Mwili wake upo vile vile.
“Jamani
mimi sipo hivyo kama picha zilivyozagaa katika mitandao ya kijamii,
Kisandu ule picha ukiangalia tu unaona kama si ya ukweli, kwanza uwanja
gani ule tulocheza mazoezi sisi Yanga, na ukiangalia kwa nyuma kuna goli
la Hand ball, sasa sisi Yanga lini tumefanya mazoezi uwanja kama huo na
pia Yanga wafanye mazoezi kusiwe hata mashabiki kuangalia!, duh watu
wananichafua sana ila mimi nipo vizuri na wapenzi wa Yanga na Tanzania
wategemee makubwa kuliko mwanzo Kisandu”.
Jumamosi
ya April 30, 2016 moja ya Gazeti la michezo nchini Tanzania ambalo ni
BINGWA liliandika taarifa ndefu kuhusu mlinzi wa Yanga ambapo kichwa cha
habari kilikuwa kimeandikwa “ SIRI NZITO YAFICHUKA YANGA”, NYOTA
ALIYEMKUNA MAHREZ WA LEICESTER NI TEJA WA KUTUPWA, APIGWA CHINI” .
Zaidi
ushahidi huo apo kwenye picha unaonesha kuwa si kweli Mwinyi hatumii
madawa ya kulevya bali ni wachache wasiompenda wanamchafua.
Chanzo-Naipenda Yanga
- See more at: http://www.barakampenja.com/2016/08/ile-ishu-ya-mwinyi-haji-kutuhumiwa-kwa.html#sthash.YvYuCwP7.p6noFGBL.dpuf
MWINYI HAJI NGWALI HATUMII MADAWA YA
KULEVYA, USHAHIDI HUU HAPA

Post a Comment