Rais wa
Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa
(Takukuru).
Taarifa
zinaelezwa kuwa Takukuru wanamshikilia Aveva kwa tuhuma za rushwa ingawa
haijaelezwa ni tuhuma zipi.
Habari za
uhakika zinaeleza, Aveva amekamatwa jana na amelala katika moja ya vituo vya
polisi jijini Dar es Salaam.
Chanzo:Salehjembe
Post a Comment