Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius,leo amehukumiwa
kifungo cha miaka 6 gerezani kwa kosa la kumuua mpenzi wake.
Pistorius,29,alimuua kwa kumpiga risasi mchumba wake, Reeva
Steenkamp miaka mitatu iliyopita huko nyumbani kwake Pretoria, Afrika Kusini.
Baada ya kupitia utetezi wa pande zote mbili jaji,Maripa,wa
mahakama ya North Gauteng high court amemuhukumu Pistorius kwenda gerezani
baada ya kumkuta na hatia ya mauaji.
Post a Comment