Navy Kenzo ni kundi la muziki wa bongofleva lenye makazi yake
Dar es salaam likiundwa na Wanandoa watarajiwa, Aika na Nahreel ambapo hivi
juzi walipata dili la kutokea kwenye mabango ya matangazo ya kampuni ya simu.
Ni wasanii ambao pia wamezikusanya
pesa zao kutokana na jasho la muziki wanaoufanya ikiwemo tour ya kamatia chini
ambayo ni smash hit yao iliyohewani sasa hivi.
Post a Comment