Mshambuliaji Simba ajiunga na KCCA
Brian Majwega Arejea Uganda sasa kukipiga kunako Timu ya Kampala City Council Authority (KCCA) kwa mkataba wa miaka miwili.
Majwega amekuwapo katika klabu ya Azam kabla ya Msimu uliopita kuichezea Simba SC bila mafanikio hali iliyomfanya kuwepo katika wachezaji waliotoswa na Simba.
KCCA wanamsajili Majwega wakiwa na imani kuwa atawasaidia katika mashindano ya CECAFA KAGAME CUP pamoja na michuano ya ligi na Ile ya Kimataifa.
Post a Comment