MSHAMBULIAJI
mpya wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo ndiye aliyeotea mara nyingi zaidi kwenye
kikosi hicho katika mchezo wa Jumamosi iliyopita dhidi ya JKT Ruvu.
Katika
mchezo huo ambao uliisha kwa suluhu, jumla Simba iliotea mara tano lakini
straika Mavugo ndiye aliyeongoza kwa kuotea mara nne huku Fredric Blagnon.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.