Picha mbalimbali zinamuonyesha Simon Msuva alivyofunga bao lake katika dakika ya 71 kwenye mchezo dhidi  ya Lyon ambayo vijana wa Jangwani waliibuka na ushindi wa mabao 3-0.
Simon Msuva wa akimtoka Omar Salum kushoto.

… akimpiga kanzu kipa wa Lyon, Youthe Rostand.

…akiuangalia mpira uliotangulia mbele yake

..akishangilia na Mahadhi baada ya mpira kutinga kimiani

Post a Comment

 
Top