Tanzania kwa sasa Meridianbet ndio kampuni kubwa inayojihusisha na mchezo wa bahati nasibu ya kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali [betting]. Meridianbet wamerahisisha namna ya kubet kwa mtandao kupitia tovuti yao ya www.meridianbet.co.tz na wana machaguo [options] mengi katika michezo mbali mbali hivyo kukupatia uwanja mpana wewe mchezaji kuchagua unachotaka. Pia wamerahisisha namna ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako kwani unaweza kutumia hata njia ya M-Pesa ambayo ni rahisi zaidi ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako ya Meridianbet.





JINSI YA KUJIUNGA MERIDIANBET HATUA KWA HATUA

HATUA YA 1
Fungua tovuti ya meridianbet ambayo ni www.meridianbet.co.tz na kisha bofya sehemu iliyoandikwa join now


HATUA YA 2
Hatua inayofuatia ni kujaza taarifa zako kama fomu itakavyoelekeza kisha bofya register now. Vitu vya kuzingatia ni:

    Namba ya simu utakayotumia kama ni mtandao wa vodacom ndio utakayokuwa unatumia kutoa na kuweka fedha katika akaunti yako ya meridianbet kwa njia ya M-Pesa.
    Kumbuka kutick kwenye sehemu iliyoandikwa promo code na kuandika neno ripota (ripota kwa herufi ndogo zote (kama hakuna sehemu iliyoandikwa promo code usijali endelea na hatua nyingine zinayofuatia)
    Uwe na email address yako utakayoitumia katika kufanya usajili.



HATUA YA 3
Hatua inayofuata ni wewe kuingia katika email account yako uliyotumia kufanya usajili utakuta meridianbet wamekutumia confirmation link. Sasa utabofya hiyo confirmation link, hapo sasa utakuwa umejiunga na meridianbet. Kitu cha kuzingatia ni kuitambua namba yako ya akaunti ambayo ndiyo utakuwa unaitumia kuweka pesa katika akaunti yako ya meridian.

Jinsi ya kutambua namba yako ya Akaunti ya Meridianbet
Ingia katika akaunti yako ya meridianbet bofya sehemu iliyoandikwa Bet Slip kisha utaona sehemu imeandikwa Account ID mbele yake kuna tarakimu 7 hizo namba ndio namba za utambulisho wa account yako ya meridianbet ambazo ndio unaweza kutumia kuweka pesa kwenye account yako.





JINSI YA KUWEKA PESA KWENYE AKAUNTI YAKO YA MERIDIANBET KWA NJIA YA M-PESA

    Ingia kwenye menu ya M-Pesa ambayo ni *150*00#
    Kisha bonyeza namba 4 lipa kwa M-Pesa (Pay by M-Pesa)
    Bonyeza na 4 tena Ingiza namba ya biashara (Enter business number)
    Namba ya biashara ingiza 170066
    Hapo utaombwa uingize namba ya kumbukumbu ya malipo (Enter reference no). Ingiza namba yako ya akaunti ya Meridianbet
    Kisha utaingiza kiasi cha pesa unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya Meridianbet
    Kisha utaingiza namba yako ya siri(password) ya M-Pesa
    Utabonyeza namba 1 kuthibitisha huo muamala.
    Utapokea ujumbe kwenye simu yako kuonyesha pesa yako imetumwa Meridianbet.  Baada ya hapo subiri baada ya nusu saa mpaka saa 1 pesa yako utaiona kwenye akaunti yako ya meridianbet tayari kwa kuitumia.

Hapo unaweza kuweka dau la lako  kuanzia shilingi 100/= katika michezo unayotaka kubashiri kulingana na machaguo yako.

Kama una swali au unahitaji msaada wowote kuhusu kujiunga na kuitumia meridianbet usisite kuuliza hapa. Tutafurahi kukusaidia
 

Post a Comment

  1. Nimeshindwa kujiunga na meridianbet.

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
    2. write joa (small letters)

      Delete
  3. afu mbona hakuna country jamaniiiiiii na passport ya nn tena

    ReplyDelete
  4. Naomba kufungua account kwa password ya zamani nisaidieni nimeshindwa.

    ReplyDelete
  5. Replies
    1. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  7. Naomba mnisaidie jinsi ya kujiunga nimeshindwa

    ReplyDelete

 
Top