FT YANGA 3-0 LYON
Mahadhiiii Yanga 3-0 Lyon'

 zimeongezwa dakika 4
dk 90. Tambwe anakosa goli pale baada ya mpira jugonga mwamba… pengine angeiandikia Yanga bao la tatu


dk 88. Donald Ngoma anakwenda nje anaingi Matheo Anthony

mashabiki wa Yanga wakiwa na furaha baada ya Msuva kufunga bao la pili
Yanga wanaonana sasa hivi na wamekuwa wakipiga pasi nyingi zinazoonekana kuwachanganya wapinzani wao

MSUBA AMEFUNGA BAO HILO AKITUMIA VYEMA PASI YA KAMUSOKO AMBAYO ALIMTANGULIZIA KISHA MSUVA AKAMZIDI MBINU BEKI WA LYON KISHA AKAUPIGA JUU YA KIPA MPIRA 

MSUVAAAAAAAAAAAAAAAAAA YANGA 2-0 LYON DK60

VIDEO YA BAO LA KASEKE  ALILOFUNGA LEO

video ya bao la Kaseke
 kipindi cha pili kimeanza

Kikosi cha Yanga
1. Deogratius Munishi
2. Hassani Kessy
3. Mwinyi Haji
4. Andrew Vicent
5. Vicent Bossou
6. Thabani Kamusoko
7. Saimoni Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Donald Ngoma
10. Amisi Tambwe
11. Deusi Kaseke

Substitutions
- Beno Kakolanya
- Oscar Joshua
- Pato Ngonyani
- Saidi Makapu
- Juma Mahadhi
- Yusufu Mhilu
- Mateo Antony

African Lyon XI: Baraka, Youthe, Twenye, Tajiri, Otong, Salum, Mayanja, Okello, Nampaka, Kiata, Salum, African Lyon subs: Mazande, Miraji, Isihaka, Awadh, Kibingu, Kipalamoto, Hilary


Timu nzote uwanjani na mwamuzi atapuliza kipyenga wakati wowote
 

Dk 11 Yanga wanaonekana kuja kwa kasi zaidi na kulishambulia lango la African Lyon lakini Ngoma na Tambwe wanashindwa kutumia nafasi wanazozipata
 

dk 18 Kaseke anaiandikia bao la kuongoza Yanga; Yanga 1-0 Lyon



  Kamusoko akiwa chini baada ya kufanyiwa madhambi na mchezaji wa Lyon hata hivyo ametibiwa na sasa yupo uwanjani akiendelea kupambana. .  hiyo ilikuwa dakika ya 28.


45. Mchezaji wa Lyon HAMAD TAJIRI  anapewa kadi ya njano ikiwa ni ya kwanza katika mchezo wa leo baada ya kumchezea madhambi Simon Msuva wa Yanga
  HT  Mpira ni mapumziko. YANGA 1-0 LYON

Post a Comment

 
Top