MWANARIADHA wa
Tanzania, Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya tano katika mbio ndefu za
wanaume kwenye michezo ya Olimpiki.
Tanzania
ambayo haijawa na matokeo mazuri wala kupata medali katika michezo hiyo ambayo
inafungwa leo nchini Brazil, angalau inaweza kupata tabasamu kutokana na
matokeo hayo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.