Wachezaji watano wa kimataifa wa Simba, Fredric Blagnon raia wa Ivory Coast, Laudit Mavugo (Burundi), Janvier Bokungu, Musa Ndusha (wote DR Congo) na Method Mwanjali (Zimbabwe) leo wamesaini mikataba tayari kwa kuitumikia timu hiyo msimu ujao.
Wachezaji hao walisaini mikataba hiyo mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Collins Frisch.

Post a Comment

 
Top