Live Yanga 1-0 Mo Bejaia
dk 20: chirwa anakosa bao
Bao la YAnga lilifungwa dakika ya nne na Amissi Tambwe
dk 27 Yanga wanaonekana kuonana vyema tatizo wanashindwa kutulia kila wanapofika kwenye lango la wapinzani wao
Dk 32 mchezaji wa Mo Bejaia ameumia baada ya kubamiziwa mpira usoni na Bossou wa Yanga anatolewa kwa matibabu
dk 34 Mpira wa kurushwa kwenda Bejaia baada ya mchezaji wao kuutoa

Dk 38 Msuva anashindwa kuuwahi mpira ambao alitanguliziwa na
Yondani hivyo kipa wa Mo anauwahi
Yanga wanaonekana kuonana lakini wanapofika kwenye lango la
wapinzani wao wanakuwa wanapoteana au wanashindwa kutumia nafasi wanazozipata
DK 44 Msuva alikuwa anakwenda kuonana na kipa wa Mo lakini
mlinzi wa timu hiyo anamzuia kwa kumshika na hivyo kuwa faulo.
Dk 45 Msuva kama angekuwa makini kuunga mpira wa faulo kwa
kichwa basi yanga ingeandika bao la pili lakini umakini wa kipa pia umesaidia
kuzuia wasifungwa
Dk 2 Zimongezwa
Mpira ni mapumziko
Kipindi cha pili kinakaribia kuanza, wachezaji wa timu zote wanatoka vyumbani mwao
Kipindi cha pili kinakaribia kuanza, wachezaji wa timu zote wanatoka vyumbani mwao
Kipindi cha pili kimeanza, Yanga wanatafuta bao la pili na
Mo wanatafuta kusawazisha
Dk 53 Mchezaji wa Mo anakosa bao la wazi pale dida na mlinzi
wake wanafanyakazi ya ziada kuuondosha mpira langoni. Dida anaumia baada ya
kugongana na beki wake hivyo anatibiwa sasa
Dida kainuka na mpira unaendelea
Dida anaonekana kupoteza mpira pale baada ya kuudaka na kisha kukaa nao chini
Dk 65 Kaseke out mahadhi In
yanga wanakosa mabao mengi ya wazi ambayo pengine watakuja kuyajutia badae
Dk 71 Yanga jumla wamepiga mashuti 12 yaliyolenga lango la wapinzani
Dk 78 Yondani anapata kadi ya njano baada ya kumzinga mchezaji wa Mo aliyekuwa akienda kufunga
Dk 79 Dida anapangua mpira wa faulo ambao unazaa kona na kisha anaokoa ila anaumia mkono na antibiwa mpaka sasa

DK 85 Yanga wanacheza vizuri walinzi wanafanya kazi yao ipasavyo
tatizo kubwa ni umaliziaji, washambuliaji wameonekana kutokuwa makini hasa
wanapoingia ndani ya eneo la hatari la Mo Bejaia
DK 88 Yanga 1 - Bejaia 0
Zinaongezwa dakika 5. .
Yanga 1 - Bejaia 0
mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Yanga 1-0 Mo Bejaia
DK 88 Yanga 1 - Bejaia 0
Zinaongezwa dakika 5. .
Yanga 1 - Bejaia 0
mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Yanga 1-0 Mo Bejaia
Post a Comment