MSHAMBULIAJI tegemeo wa Real Madrid ana asilimi 50-50 za
kucheza kwenye mchezo wa keshokutwa Jumatano wa nusu fainali ambalo utakuwa wa
marudiano wa kuwania kutinga fainali ya UEFA.
Katika mchezo wa kwanza mabo uliopigwa Etihad na kuisha kwa
sare ya bila kufungana, Ronaldo aliyefunga mabao 16 mpaka sasa kwenye michuano
hiyo msimu huu, hakuwepo kwenye mchezo wa awali ambapo alikuwa akisumbuliwa na
maumivu ya msuli.
Taarifa zinasema uhakika wa Ronaldo kucheza mechi hizo ni
asilimia 50 kwa 50 hivyo kadiri muda unavyokwenda nitakujuza zaidi.
Post a Comment