July 5, 2025 04:58:01 PM Menu






DAWA ya moto ni moto, kwani waamuzi wa michuano ya Copa America 2016 wamepewa mamlaka ya kutoa penalti kwa wachezaji watakaotoa lugha chafu.
Kanuni hiyo inawaruhusu waamuzi hao kutoa penalti kwa wachezaji watakaotoa lugha chafu dhidi yao.
Shirikisho la Soka Amerika Kusini (CONMEBOL) limeweka kanuni hiyo ili kupunguza vitendo vya utovu wa nidhamu mchezoni.
Wachezaji, makocha, waamuzi na mashabiki watashuhudia kanuni hizo mpya za Copa America ambazo nyingine ni mabadiliko kwa wachezaji wanne na marudio ya picha za video.

04 Jun 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top