April 10, 2025 12:30:28 PM Menu

NGULI wa soka wa Argentina, Diego Maradona amesema kuwa timu ya taifa hilo inastahili kushinda fainali ya Copa America ambapo watakipiga dhidi ya Chile, kinyume na hapo hawastahili kurejea nyumbani.

Maradona ambaye aliingoza Argentina kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1986 amenukuliwa akisema: “Naamini timu yetu itashinda lakini niwaambie tu kuwa wakishindwa kutwaa ubingwa wasirudi nyumbani.”

Argentina inatarajiwa kucheza fainali hiyo alfajiri ya kuamkia Jumatatu ambapo Lionel Messi anatarajiwa kuongoza mashambulizi akiwa ndiye mfungaji bora wa muda wote wa taifa hilo. 

Maradona ambaye aliingoza Argentina kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1986 amenukuliwa akisema: “Naamini timu yetu itashinda lakini niwaambie tu kuwa wakishindwa kutwaa ubingwa wasirudi nyumbani.”

Argentina imeshindwa kutwaa ubingwa tangu mwaka 1993, hali hiyo imekuwa ikiwatesa mastaa wa timu hiyo kwa kuwa licha yakufanya makubwa katika klabu zao lakini wameshindwa kuwa na mafanikio katika timu ya taifa.

25 Jun 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Top