April 11, 2025 11:05:57 AM Menu

 
Kocha wa zamani wa Yanga, Ernie Brandts amepata kazi mpya baada ya kuteuliwa kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha NEC kinachoshiriki Ligi Kuu ya Uholanzi.

Brandts ambaye aliwahi kuiwezesha Yanga kubeba ubingwa wa Tanzania Bara kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Mholanzi mwingine, Hans van der Pluijm ambaye yuko sasa, atakuwa kocha msaidizi chino ya Kocha Mkuu Peter Hyballa ambaye ni aria wa Ujerumani.


Mbali na Yanga, Brandts pia amewahi kuzinoa timu za RKVV DIA, FC Dordrecht za kwao Uholanzi, APR (Rwanda), Rah Ahan (Iran) pia amewahi kuwa kocha msaidizi wa timu ya vijana za NAC, FC Volendam na PSV.
16 Jun 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top