Nick Young amemjibu aliyekuwa
mpenzi wake, Iggy Azalea baada ya kutaja sababu iliyomfanya ampige chini mpenzi
wake huyo.
Siku chache zilizopita kupitia
akaunti ya Twitter, Iggy aliweka wazi kwa kusema kuwa sababu iliyomfanya amwage
Nick Young ni kutokana na kuwa na mahusiano na wanawake wengine wa nje.
Huu ni ujumbe alioandika Nick
Young kupitia akaunti yake ya Twitter:
Post a Comment