April 10, 2025 02:42:37 AM Menu




KIKOSI cha KMC (Kinondoni Muncipal City), jana wamewatangaza nyota Athuman Chuji na wenzake watano tayari kwa kuanza kuitumikia ntimu hiyo msimu ujao ili kuhakikisha inapanda ligi kuu.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob alimkabidhi jezi namba 28 ambayo ataivaa msimu ujao na kikosi hicho.
Wengine waliosajiliwa kikosini humo ni Eric Mawala (kutoka Mbeya city), Lembele Jerome (Kagera Sugar) na Mussa Kidu (JKT Ruvu), Issa Ngoah (Simba), Rashid Roshwa (Kagera Sugar),
31 Jul 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top