Kikosi cha Azam FC leo Jumatano mchana kimefanya mazoezi ya
viungo ndani ya bwawa la kuogelea kwenye Hoteli ya Mtoni Marine, ilipofikia
timu hiyo Visiwani hapa Zanzibar.
Programu hiyo ilisimamiwa na Kocha Msaidizi wa Viungo wa
Azam FC, Borges Pablo, ambapo aliweza kuwafanyisha mazoezi tofauti wachezaji
ndani ya maji, ambayo walifurahishwa nayo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.