April 10, 2025 04:45:03 PM Menu




KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Moro Kids ya Morogoro.
Katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja
Chuo cha Biblia Highlands , Morogoro uliishuhudia Simba ikishinda mabao 2-0 dhidi ya wenyeji hao na kuwa ushindi wa pili mfululizo baada ya wiki iliyopita kuifunga Polisi Moro mabao 6-0.
Mabao ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 20 akipokea pasi ya Shiza Kichuya na la pili lilifungwa na Danny Lyanga dakika ya 69 akiunganisha pasi ya Mohammed Ibrahim.

29 Jul 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top