April 10, 2025 08:52:05 PM Menu




KOCHA Mkuu wa Man United, Jose Mourinho, ametangaza kuwatema wachezaji tisa akiwemo mkongwe, Bastian Shweinsteiger.
Mourinho pia amewaondoa pia nyota wengine nane kikosini humo akiwataka kutafuta sehemu ya kwenda ambao ni Mabeki: Tim Fosu-Mensah, Paddy McNair, Tyler Blackett, Cameron Borthwick-Jackson.
Viungo: Bastian Schweinsteiger, Andreas Pereira, Adnan Januzaj. Washambuliaji: Will Keane, James Wilson
29 Jul 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top