Kiungo kinda
wa Yanga, Geofrey Mwashiuya amepata msala mwingine baada ya vipimo vya MRI
kuonyesha ana ana tatizo la goti linalomlazimu kukaa nje ya uwanja kwa mwezi
mmoja na nusu.
Mwashiuya
tayari ameanza kufanyiwa matibabu jijini Dar es Salaam chini ya usimamizi wa
daktari wa Yanga.
Kukaa kwake
nje, kutamlazimu kuzikosa mechi tano hadi kumi za mwanzo za Ligi Kuu Bara
ambayo itaanza rasmi Agosti 20.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.