TIMU ya
stendi united imeanza rasmi usajiri wa wachezaji ambapo tayari imewanasa
wachezaji nane kutoka timu mbalimbali ikiwemo
wachezaji wawili waliochezea
msimu uliopita timu ya Toto sports club.
Wakiongea na
waandishi wa habari hapo jana mwenyekiti
wa timu hiyo dkt Ellyson Maeja alisema kuwa wameanza usajiri wakupata wachezaji wa timu
hiyo kwa msimu unaokuja.
Alisema katika usajiri uliofanyika vijana nane
wamesajiriwa tayari ikiwa wawili kutoka
timu ya Toto sports club ya jijini Mwanza,watatu kutoka timu ya mgodini
Bulyanhulu Fc na wengine watatu kutoka
Mgodi wa North Mara.
“Mchezaji
Miraji Musa na Erick Muriro walikuwa wakichezea timu ya Toto Sports club,
John Mtobisya,Paul Salamba na Charles
Minza walikuwa wakichezea timu ya Bulyanhulu FC kutoka wilayani Kahama mkoani
hapa na wengine watatu watafika kesho kutoka
timu ya mgodini North Mara ”alisema Maeja.
Naye
katibu wa timu ya Bulyanhulu Dickson
Lusingi ambaye ni meneja wa
wachezaji hao alisema kuwa John Mtobisya nafasi
atakayochezea ni beki, Paul Salamba
nafasi yake ni Fowadi,Charles Minza ni
golikipa.
Related Posts
- Tumewasikia, tunawathamini, tunawapenda, tutarejea14 May 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Chelsea loan offer for James rejected28 Aug 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Barcelona plot Ayoze Perez move27 Jul 20160
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- Caf kuilipia Yanga mishahara25 Dec 20160
YANGA inahesabu siku tu kabla ya kuanza kuogelea mamilioni ya fedha za Shirikisho la Soka barani...Read more »
- Tatizo la Okwi kwishnei Simba25 Dec 20160
BADO mashabiki wa Simba wanaendelea kumkumbuka straika wao Mganda, Emmanuel Okwi, kutokana na ka...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.