May 5, 2025 03:42:16 AM Menu




Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Azam FC na Simba ya Dar es Salaam, utafanyika Jumatano Septemba 21, 2016 badala ya Septemba 17, mwaka huu.
 Mchezo huo utapigwa katika Wanja wa Taifa, Dar es Salaam, umesogezwa mbele kuipisha timu ya taifa ya Congo-Brazzaville ipate nafasi ya kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa, ikiwa ni kutekeleza matakwa ya kanuni za mchezo wa mpira wa miguu za kimataifa kwamba mwenyeji lazima aachie uwanja siku moja au saa 24 kabla ya mchezo wa ushindani.
12 Sep 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top