May 11, 2025 11:46:31 PM Menu







SIMBA imeamua kukishtaki Chama cha Soka cha DR Congo (Fecofa)
kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) baada ya kugomea kutoa
hati ya uhamisho wa kimataifa (ITC) ya mchezaji wake, Mussa
Ndusha aliyesajiliwa hivi karibuni.
Hadi sasa Ndusha pekee ndiye mchezaji wa kigeni wa Simba
ambaye hajapata ITC kati ya waliosajiliwa katika dirisha
lililofungwa hivi karibuni kufuatia Fecofa kukataa kutoa ITC yake.
Katibu Mkuu wa Simba, Patrick Kahemele alisema:
“Wanachokifanya Fecofa ni utapeli wa kutaka kuitapeli Simba
kwa kutaka wapewe fedha kwa mchezaji asiye na mkataba,
tumelifikisha Fifa suala hili ili tupate haki yetu.”
17 Sep 2016

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top